Kumpigia kura P.O.Sakho, CAF Goal of the Year ni kujipotezea muda tu. Wengine kuamua mshindi

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Nimeona Watanzania wakichangamka kumpigia kura mchezaji wa Simba SC kwenye moja ya tuzo katika kipengele cha Goli bora la mwaka.

Kiukweli hilo jambo la kuacha watu wapigie kura mshindi limewekwa kimkakati na kibiashara tu.

Uhalisia ni kwamba hawawezi acha majority wasio kuwa na ufahamu wa mpira wapige kura maana CAF wana fahamu kabisa kuna “mambumbumbu” pia yana shabikia mpira hivyo si rahisi kupata mshindi mwenye kustahili.

Aidha, Caf wanafahamu kuwa baadhi ya wachezaji wanatoka kwenye mataifa yenye uwiano mdogo wa population hivyo wale wenye kutoka kwenye mataifa yenye population kubwa watanufaika zaidi hata kama hawastahili.

Ndio maana hata TFF imechagua kamati maalumu kubaini washindi katika tuzo za TFF zilizo tamatika.

Ifuatayo ni orodha ya wapiga kura katika kila kipengere ambacho kitaamua mshindi:-

1. Kamati ya Ufindi ya CAF
2. Waandishi wa Habari/michezo watambulikao CAF
3. Makocha wakuu wa timu shiriki msimu 2021/22
4. Makaptein wa timu shiriki msimu 2021/22
5. Klabu zilizo shiriki makundi msimu 2021/22



Endapo kura zitagongana/kufanana ndipo kura za mashabiki zitatumika.

Ikumbukwe: Tangu CAF ianzishwe mwaka 1957. Hakuna msimu wa tuzo kukatokea kufanana kwa idadi ya kura.
 
Goli lenyew linazidiwa na Lile la ngushi
 
70 % za kura zina count 30 wanabaki nayo panelists..haya case closed jamani kuna propaganda gani nyingine tu deal nayo kwa sasa, hurry up leteni ma ushuzi yenu tuyajibu

View attachment 2290761
Umeyakaba pumzi..yameenda kujipanga yatarud tena upya na pumba nyingne...majinga hapo utolon hata uyaue hutamaliza
 
Tutampigia kura Joyce wowowo mnenguaji bora

Fanya kama unachuma tembele hivi huku mkono mmoja ushikirie bukta wakati huo huo linda liwe wazi alafu mwambie DJ ampete Joyce.

Lengo ni kuona kama Joyce ataingia lindani au atanengua mziki wa kilingala.
 
Umeyakaba pumzi..yameenda kujipanga yatarud tena upya na pumba nyingne...majinga hapo utolon hata uyaue hutamaliza

Nawewe nilizani una akili za kutosha kumbe umekwisha zidondosha. [emoji23][emoji23]

Unasapoti vipi hoja za uongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…