katika Thread ya CHADEMA kuchuka Kilombero, nimemtumkana Bado niponipo. Naomba Uniwie Radhi maana nilihamanika kwa Sababu toka jana kuna Members ambao kazi yao ni kuleta habari ambazo hata wenyewe wanajua ni za Uongo kitu ambacho kinaweza kupelekea kushusha hadhi ya Jamvi letu
Nachukua nafasi hii, mbele ya Hadhira hii Kumuomba radhi member bado nipo nipo na wengi wote niliowakwaza
Asante
Na huo ndio tunaouita Uungwana..! Asante sana.katika Thread ya CHADEMA kuchuka Kilombero, nimemtumkana Bado niponipo. Naomba Uniwie Radhi maana nilihamanika kwa Sababu toka jana kuna Members ambao kazi yao ni kuleta habari ambazo hata wenyewe wanajua ni za Uongo kitu ambacho kinaweza kupelekea kushusha hadhi ya Jamvi letu
Nachukua nafasi hii, mbele ya Hadhira hii Kumuomba radhi member bado nipo nipo na wengi wote niliowakwaza
Asante
I'm very happy for the news, sasa swali la kujiuliza ni hawa Manyang'au wamepora Mangapi?
I'm very happy for the news, sasa swali la kujiuliza ni hawa Manyang'au wamepora Mangapi?[/QUOTE
I AM SORRY TO SAY....SISIEM NI MAHARAMIA KAMA WALE WA SOMALILAND
thanks kwa uungwana.... sasa basi nenda uka-delete ile post kwani bado ipokatika Thread ya CHADEMA kuchuka Kilombero, nimemtumkana Bado niponipo. Naomba Uniwie Radhi maana nilihamanika kwa Sababu toka jana kuna Members ambao kazi yao ni kuleta habari ambazo hata wenyewe wanajua ni za Uongo kitu ambacho kinaweza kupelekea kushusha hadhi ya Jamvi letu
Nachukua nafasi hii, mbele ya Hadhira hii Kumuomba radhi member bado nipo nipo na wengi wote niliowakwaza
Asante
katika Thread ya CHADEMA kuchuka Kilombero, nimemtumkana Bado niponipo. Naomba Uniwie Radhi maana nilihamanika kwa Sababu toka jana kuna Members ambao kazi yao ni kuleta habari ambazo hata wenyewe wanajua ni za Uongo kitu ambacho kinaweza kupelekea kushusha hadhi ya Jamvi letu
Nachukua nafasi hii, mbele ya Hadhira hii Kumuomba radhi member bado nipo nipo na wengi wote niliowakwaza
Asante
Dr. Ndege ya Uchumi heshima mbele mkuu.
Niwe muwazi nilishtushwa sana na badiko lako kiasi cha kuangalia Id yako mara mbilimbili, sikuwahi kutarajia kama post aina ile inaweza toka kwako, Ile ni habari iliyokuwa inarushwa LIVE na ITV Tanzania.
Usijali mkuu tuko pamoja, cha msingi Gender Sensitive aje at least kwa dakika moja kutupa confirmation yeye binafsi kwa kuwa ni member humu, mimi nilipoiona habari ile ITV Tanzania nilifarijika sana, Wasichana nao wanaweza hata upinzani.
Ndege ya Uchumi, kanyaga twende baba.
Umefanya jambo jema sana apo. Kuomba radhi ni ukomavu tosha, na uvumilivu ni jambo jengine😎Sina Cha kuongeza Mkuu
Asante, Twende Pamoja
katika Thread ya CHADEMA kuchuka Kilombero, nimemtumkana Bado niponipo. Naomba Uniwie Radhi maana nilihamanika kwa Sababu toka jana kuna Members ambao kazi yao ni kuleta habari ambazo hata wenyewe wanajua ni za Uongo kitu ambacho kinaweza kupelekea kushusha hadhi ya Jamvi letu
Nachukua nafasi hii, mbele ya Hadhira hii Kumuomba radhi member bado nipo nipo na wengi wote niliowakwaza
Asante
Matokeo yasliyotangazwa mchana huu anaonekana kuwa ameshindwa. Samahani kama nimekukwazatupo pamojah.. dada Regia ndo kashinda sio???