Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Wanajukwaa nawapungia mkono wa salam
Leo akipokea ripoti ya CAG iliyoibua madudu lukuki Rais Samia aliongea mengi lakini nimeona nigusie kauli moja ambayo inaonekana kuwapa mwanya wabadhirifu.
Amesema kila mwaka kuna madudu na wahusika wa ubadhirifu wanahamishwa tu ofisi.
Rais Samia ameendelea kushauri kwamba kama ikionekana wapigaji hao haifai kuwaondoa kazini basi wapelekwe maeneo ambayo hayana hela zaidi ili wakaipate joto ya jiwe.
Wahalifu hao ulitakiwa kutoa amri watangulie vituo vya polisi vilivyo karibu ili TAKUKURU wasisumbuke kuwasaka
Rais Samia kwakua unapita hapa jukwaani utàona maoni mbalimbali ya wadau lakini usicheke na kima utachekwa sana. Uzembe na wizi unatakiwa ukomae nao mpaka wahame nchi