Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
Kamesha fuzu hako, kapeleke field sasa (mafunzo kwa vitendo)
Ndio maana Wadau wanaipigia kelele Serikali, kuweka maabara katika shule za Sec...
Ndio maana wanasema ualimu wito... [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hiyo hesabu ni ya mtu aliyekomaa ambaye yuko madarasa ya juu. Chekechea kila kitu kama sio picha ni kwa uhalisia, sio kwa kufikiria.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] watoto wa dotcom hawataki kuongopewa...Hahahahhaha anataka ushahidi kabisaa
kweli kabisa mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] watoto wa dotcom hawataki kuongopewa...