Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
Wanaosema uongozi wa Yanga unaongozwa kisera na viongozi wao ni Ma check bob wapo sawa, uongozi makini usingeweza kumsajili mchezajinkwa 400m na kumpa mkataba wa miaka miwili pekee
Msimu wa kwanza mchezaji anaweza kuutumia kujitafuta msimu wa pili ndo akaonyesha uwezo wake, uongozi wa utopolo ulizubaa, ni bora hata wangempa mkataba wa miaka miwili na nusu wangeambulia chochote
Ni hasara na aibu mchezaji kuondoka free akiwa na thamani ya 1b+ hii ni ngumi ya mdomo kwa uongozi
Usikute pacome pia walimpa miaka 2 msimu ujao pia akaondoka free
Yanga bado mnalakujifunza kwa Simba Namna ya kuwapa mikataba na kuwauza wachezaji na timu kupata faida