Snitch2020
Member
- Aug 24, 2017
- 77
- 91
NDEFU KIDOGO KAMA UNA USINGIZI KALALE UTAIKUTA KESHO.
Mambo vipi wadau. Kuna muhenga alishawahi kusema kuwa ukiwa unatukanwa sana kwenye "soshomedia" basi ujue we ni star. Usemi huu nimekuja kuamini kuwa ni kweli baada ya kuona vijana mbalimbali wakitumia fursa ya kumtukana na kumkejeli mwanamziki namba 1 wa tanzania in exchange for Followers. Watu wamefahamu kwamba kama ukitaka kutoboa basi mtukane Diamond,mseme vibaya,mponde kisha utaona ni jinsi gani watu watakufwata na kukupongeza. Siku zote mti wenye matunda ndio unapigwa mawe.
Unaweza ukajiuliza unawezaje kutengeneza pesa kwa kumponda/kumtukana diamond(wcb)???? Jibu ni rahisi sana, kwanza kabisa unatakiwa ujikate mshipa wa aibu na ukubali kutukanwa pia(wati gozi araundi kamz araundi) kwasababu mondi pia anao loyal fans ambao hawatokubali kukuachia umchafue. Pili weka notification on kwenye account yake ili atakapopost tu uwe wa kwanza kufahamu na kukomenti(kutukana). Nakuhakikishia ukifanya hivyo utapata umaharufu sana na utaanza kutengeneza pesa nyingi sana. Mfano hai ni hiki kitomboy "carrymastory" ukitembelea insta yake itaona ni jinsi gani anatumia fursa ya kumtukana Mondi kujikusanyia followers at the same time kuongeza "traffic" katika page yake ambayo huitumia kwa matangazo. Nimekifahamu hiki kitomboy tangu kinaingia insta na umaarufu wake umekuja kwa njia hiyo"haramu". Kwa sasa anachofanya kila anapotaka kupost tangazo lazma atangulize post ya kumtukana Diamond au zari ili kuwaweka watu attention kisha wakishajazana katika page anapost matangazo sio chini ya 6. Kwa kifupi anaingiza pesa nyingi sana na wewe pia unaweza ukaingiza kama yeye. Hii inaonesha ni jinsi gani diamond amewasaidia vijana kupata rizki kupitia yeye direct na indirectly.
UJUMBE: Diamond will always be Diamond
Wako katika ujenzi wa taifa Snitch2020