Kumshika mtoto baada ya kufanya tendo la ndoa

Kumshika mtoto baada ya kufanya tendo la ndoa

kibega

Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
12
Reaction score
1
baba na mama wakifanya tendo la ndoa na kumshika mtoto kabla ya kuoga, je hapo itawa wamembemenda mtoto?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Hamuwezi kumbemenda bali mtamchafua na kama mna magonjwa kwenye nyeti zenu kuna uwezekano mkamuambukiza.
 
usimshike maana mtoto ni kiumbe kitakatifu, hata msikitini hairuhusiwi kuingia kama umetoka kudo na hujaoga
 
Jitahidi kuwa safi kwanza ndo mshike mtoto,that is the right way or unless otherwise itokee kwa dharula.
 
baba na mama wakifanya tendo la ndoa na kumshika mtoto kabla ya kuoga, je hapo itawa wamembemenda mtoto?

Mtoto mwenyewe ni product ya tendo la ndoa! We jirushe mtoto mshike tu hta kabla hujavaa nguo.hakuna tatizo! Ila mpende mwanao ale alale avae na huduma zingine nzuri -tena atakua na afya yake. Onyo tu ni kuwa hilo tendo ninalozungumzia siyo tigo (0713)......
 
Niliwahi kumuuliza Dr. Shafiq "kubemenda" maana yake alicheka kweli na hajibu hakunipa.
 
usimshike maana mtoto ni kiumbe kitakatifu, hata msikitini hairuhusiwi kuingia kama umetoka kudo na hujaoga

Nadhani ni kawaida mtu kuoga kwanza kabla ya kukutana na watu ukishamaliza ku do! Ladba kama tendo hili limefanyika vichakani hapo sawa!
 
Jitahidi kuwa safi kwanza ndo mshike mtoto,that is the right way or unless otherwise itokee kwa dharula.

Na ni mpaka kwa umri gani wa mtoto

Sent from my GT-N7100 using Tapatalk 2
 
Inategemea na uliyefanya naye hlo tendo, either ulizini ama ulifanya tendo takatifu la kukutana kimwili na mwenzi wako aliye halali mbele za Mungu, n a mtoto unayemshika ni zao la ndoa yenu ama vipi
 
Hiyo sio maana ya kum-bemenda mtoto.......lakn kiusalama c vizuri kufanya hivyo....
 
Nimekuwa na wasiwasi na kutokuamini kama kua kitu kinaitwa ''kubemenda'' ningeomba wataalam wa afya ya binaadam na wasomi wengine mnifahamishe. Nashukuru kwani najifunza mengi.
Kubemenda ni nini maana yake na katika mazingira gani?.manake nimekuwa nahisi ni mambo ya uswahilini ya kudanganyana kwa kurithi na pia kuna uhusiano wowote katika kufanya mapenzi na kubemenda au ni mambo ya waganga wakienyeji MAARUFU KAMA LAMBALAMBA.
 
Back
Top Bottom