Hapana aisee!baba na mama wakifanya tendo la ndoa na kumshika mtoto kabla ya kuoga, je hapo itawa wamembemenda mtoto?
baba na mama wakifanya tendo la ndoa na kumshika mtoto kabla ya kuoga, je hapo itawa wamembemenda mtoto?
usimshike maana mtoto ni kiumbe kitakatifu, hata msikitini hairuhusiwi kuingia kama umetoka kudo na hujaoga
Jitahidi kuwa safi kwanza ndo mshike mtoto,that is the right way or unless otherwise itokee kwa dharula.
All i know mtoto ni delicate hatakiwi kupakatwa mkiwa mshanjunjana...Na ni mpaka kwa umri gani wa mtoto
Sent from my GT-N7100 using Tapatalk 2