Kumshtaki aliyenitukana kupitia simu

Kumshtaki aliyenitukana kupitia simu

jibril

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2015
Posts
594
Reaction score
243
ni hatua gani za kisheria napaswa kuzifuata ili kumshtaki mtu aliyenitukana kupitia simu ya mkononi kwa sms! please
 
Kesi isiyo na maana hiyo haiitaj hata wakili


oooh..narudi kwa mwalimu aliyenifundisha kusoma..alikula fweza ya mzee bure....nimesoma post sioni mleta mada aliposema anahitaji wakili
 
Back
Top Bottom