jibril JF-Expert Member Joined Mar 18, 2015 Posts 594 Reaction score 243 Mar 30, 2015 #1 ni hatua gani za kisheria napaswa kuzifuata ili kumshtaki mtu aliyenitukana kupitia simu ya mkononi kwa sms! please
ni hatua gani za kisheria napaswa kuzifuata ili kumshtaki mtu aliyenitukana kupitia simu ya mkononi kwa sms! please
g stable Member Joined May 8, 2013 Posts 34 Reaction score 14 Apr 1, 2015 #2 jibril said: ni hatua gani za kisheria napaswa kuzifuata ili kumshtaki mtu aliyenitukana kupitia simu ya mkononi kwa sms! please Click to expand... Kesi isiyo na maana hiyo haiitaj hata wakili
jibril said: ni hatua gani za kisheria napaswa kuzifuata ili kumshtaki mtu aliyenitukana kupitia simu ya mkononi kwa sms! please Click to expand... Kesi isiyo na maana hiyo haiitaj hata wakili
C Capt Nemo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2015 Posts 1,445 Reaction score 680 Apr 5, 2015 #3 g stable said: Kesi isiyo na maana hiyo haiitaj hata wakili Click to expand... oooh..narudi kwa mwalimu aliyenifundisha kusoma..alikula fweza ya mzee bure....nimesoma post sioni mleta mada aliposema anahitaji wakili
g stable said: Kesi isiyo na maana hiyo haiitaj hata wakili Click to expand... oooh..narudi kwa mwalimu aliyenifundisha kusoma..alikula fweza ya mzee bure....nimesoma post sioni mleta mada aliposema anahitaji wakili