kumshtaki jaja fifa yanga mnaleta vichekesho

kumshtaki jaja fifa yanga mnaleta vichekesho

wakimataifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
942
Reaction score
168
mwanasheria wa yanga anadai kuwa kaseja okwi na jaja kuwashitaki fifa sasa kumshtaka jaja ni vichekesho wapenzi mashabiki mmemzomea jaja mpaka akaona kucheza yanga ni dhahama mbrazili kaamua kubaki kwao sasa mnamtakia nini
 
Back
Top Bottom