Kumsifu Aziz Ki kwa Kiwango chake wakati kakutana na timu Dhaifu jana ni matumizi mabaya ya akili

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Msifieni tena Jumapili ijayo ( tarehe 16 April, 2023 ) akikutana na Wanamume.

Na kuna ( Wanangu ) Wachezaji Rafiki Wawili wazawa wa Simba SC ( Waandamizi ) kabisa nimeshawapa Kazi Maalum kwa Aziz K, Mayele, Aucho na Kiherehere Moloko ili Wamalize Shughuli mapema.

Na Bangi nitakazowapa Safari hii siyo ya Kwetu Tarime au Arumeru au ya Njombe au ya Songea bali sasa nawapa Kitu Kikali kabisa cha kutoka Blantyre nchini Malawi Kudadadeki.

Nimewapania na mtakoma Jumapili.
 
Unasemaje? Wewe

FB_IMG_16812822936899729.jpg
 
Usije kufa kwa presha bure.
 
Kasha wagonga mara tatu nyie dhaifu
 
KI kawamanua mara tatu...unataka nini tena au awatie mimba kabisa??
 
Timu dhaifu kwenye ligi ni zipi na timu strong ni zipi?! Aliwafunga Simba je nayo ni timu dhaifu?! Aliwafunga Azam je nao ni dhaifu?! Kwahiyo tuseme kwamba timu dhaifu ni zile alizozifunga na timu bora na imara ni zile ambazo hakuzifunga?! What kind of analysis is this?!
 
Msifieni tena Jumapili ijayo ( tarehe 16 April, 2023 ) akikutana na Wanamume.

Na kuna ( Wanangu ) Wachezaji Rafiki Wawili wazawa wa Simba SC ( Waandamizi ) kabisa nimeshawapa Kazi Maalum kwa Aziz K, Mayele, Aucho na Kiherehere Moloko ili Wamalize Shughuli mapema.

Na Bangi nitakazowapa Safari hii siyo ya Kwetu Tarime au Arumeru au ya Njombe au ya Songea bali sasa nawapa Kitu Kikali kabisa cha kutoka Blantyre nchini Malawi Kudadadeki.

Nimewapania na mtakoma Jumapili.
sasa wewe inakuhusu nini wakati huyo sio mchezaji wa timu yako,we pambana na bocco kaishamfunga baleke kwa waganga
 
Kurukaruka kwa maharagwe ndio kuiva kwake, kipigo lipo palepale.

Halafu mechi inachezwa jumapili SAA 11 nendeni kwenye ramli muambiwe maana.
 
Maana yake Saa 11 hadi Saa 12 ni Jini la Yanga SC litatamba na Saa 12 Kamili ( ambayo Kiislamu ni Siku mpya ) Jini la Simba SC litakuwa Kazini.

Kuna lingine labda?
 
Msifieni tena Jumapili ijayo ( tarehe 16 April, 2023 ) akikutana na Wanamume.

Na kuna ( Wanangu ) Wachezaji Rafiki Wawili wazawa wa Simba SC ( Waandamizi ) kabisa nimeshawapa Kazi Maalum kwa Aziz K, Mayele, Aucho na Kiherehere Moloko ili Wamalize Shughuli mapema.

Na Bangi nitakazowapa Safari hii siyo ya Kwetu Tarime au Arumeru au ya Njombe au ya Songea bali sasa nawapa Kitu Kikali kabisa cha kutoka Blantyre nchini Malawi Kudadadeki.

Nimewapania na mtakoma Jumapili.
Kadi nyekundu umewapa Hadi hapo
 
Back
Top Bottom