GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kweli kabisa muzee.Kama kuna mtu weak na anawika ktk game nyepesi basi hakuna wa kumzidi Chama.
Usije kufa kwa presha bure.Msifieni tena Jumapili ijayo ( tarehe 16 April, 2023 ) akikutana na Wanamume.
Na kuna ( Wanangu ) Wachezaji Rafiki Wawili wazawa wa Simba SC ( Waandamizi ) kabisa nimeshawapa Kazi Maalum kwa Aziz K, Mayele, Aucho na Kiherehere Moloko ili Wamalize Shughuli mapema.
Na Bangi nitakazowapa Safari hii siyo ya Kwetu Tarime au Arumeru au ya Njombe au ya Songea bali sasa nawapa Kitu Kikali kabisa cha kutoka Blantyre nchini Malawi Kudadadeki.
Nimewapania na mtakoma Jumapili.
Kasha wagonga mara tatu nyie dhaifuMsifieni tena Jumapili ijayo ( tarehe 16 April, 2023 ) akikutana na Wanamume.
Na kuna ( Wanangu ) Wachezaji Rafiki Wawili wazawa wa Simba SC ( Waandamizi ) kabisa nimeshawapa Kazi Maalum kwa Aziz K, Mayele, Aucho na Kiherehere Moloko ili Wamalize Shughuli mapema.
Na Bangi nitakazowapa Safari hii siyo ya Kwetu Tarime au Arumeru au ya Njombe au ya Songea bali sasa nawapa Kitu Kikali kabisa cha kutoka Blantyre nchini Malawi Kudadadeki.
Nimewapania na mtakoma Jumapili.
KI kawamanua mara tatu...unataka nini tena au awatie mimba kabisa??Msifieni tena Jumapili ijayo ( tarehe 16 April, 2023 ) akikutana na Wanamume.
Na kuna ( Wanangu ) Wachezaji Rafiki Wawili wazawa wa Simba SC ( Waandamizi ) kabisa nimeshawapa Kazi Maalum kwa Aziz K, Mayele, Aucho na Kiherehere Moloko ili Wamalize Shughuli mapema.
Na Bangi nitakazowapa Safari hii siyo ya Kwetu Tarime au Arumeru au ya Njombe au ya Songea bali sasa nawapa Kitu Kikali kabisa cha kutoka Blantyre nchini Malawi Kudadadeki.
Nimewapania na mtakoma Jumapili.
Umenena yote kwa mantiki hyo chama ni takatakaKama kuna mtu weak na anawika ktk game nyepesi basi hakuna wa kumzidi Chama.
sasa wewe inakuhusu nini wakati huyo sio mchezaji wa timu yako,we pambana na bocco kaishamfunga baleke kwa wagangaMsifieni tena Jumapili ijayo ( tarehe 16 April, 2023 ) akikutana na Wanamume.
Na kuna ( Wanangu ) Wachezaji Rafiki Wawili wazawa wa Simba SC ( Waandamizi ) kabisa nimeshawapa Kazi Maalum kwa Aziz K, Mayele, Aucho na Kiherehere Moloko ili Wamalize Shughuli mapema.
Na Bangi nitakazowapa Safari hii siyo ya Kwetu Tarime au Arumeru au ya Njombe au ya Songea bali sasa nawapa Kitu Kikali kabisa cha kutoka Blantyre nchini Malawi Kudadadeki.
Nimewapania na mtakoma Jumapili.
Maana yake Saa 11 hadi Saa 12 ni Jini la Yanga SC litatamba na Saa 12 Kamili ( ambayo Kiislamu ni Siku mpya ) Jini la Simba SC litakuwa Kazini.Kurukaruka kwa maharagwe ndio kuiva kwake, kipigo lipo palepale.
Halafu mechi inachezwa jumapili SAA 11 nendeni kwenye ramli muambiwe maana.
Kadi nyekundu umewapa Hadi hapoMsifieni tena Jumapili ijayo ( tarehe 16 April, 2023 ) akikutana na Wanamume.