kumtambua na kumridhisha mwanamke aliye keketwa

ba nso

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
668
Reaction score
225
Ninaomba msaada wenu, je nina wezaje kumtambua mwanamke aliye keketwa? Na je mwanamke aliye keketwa anaweza kufurahia tendo la ndoa? Mwenye uzoefu na hili naomba anisaidie tafadhali.
 
Kijana kama unajua mwanamke alivyo katika sehemu za siri, ni rahisi tu. Ukiona flat screen hakuna kisogo jua tayari.
 
Kijana kama unajua mwanamke alivyo katika sehemu za siri, ni rahisi tu. Ukiona flat screen hakuna kisogo jua tayari.

Mkuu we nimekukubali. Tamathali za semi.

Sasa malizia darsa, anaridhishwaje?
 
Kijana kama unajua mwanamke alivyo katika sehemu za siri, ni rahisi tu. Ukiona flat screen hakuna kisogo jua tayari.

mkuu kazikubwa funguka zaidi sijakusoma. Kisogo una maanisha nini?
 
Mkuu we nimekukubali. Tamathali za semi.

Sasa malizia darsa, anaridhishwaje?

kazikubwa katumia tafsida sana mi sijamsoma kwakweli. Unawezat saidia ufafanuzi mana wenye madem wa kigogo ni tabu kwelikweli
 
Mkuu we nimekukubali. Tamathali za semi.

Sasa malizia darsa, anaridhishwaje?

kazikubwa katumia tafsida sana hata sijamsoma. Unaweza saidia! Mana wenye madem wa kigogo ni balaa tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…