Kuna mchangiaji Goldsilver ameanza kuitaja sura! SURA ndiyo Mainswitch ya mambo yote! Kuna watu mfano akiwa anaogelea iwe baharini, pool , ziwani akijitumbukiza majini akabakiza kichwa nje ya maji ukitokea ghafla unawezashtuka na kutoka mbio ukidhani umemuona KIBOKO !
Ha ha ha!Kuna mchangiaji Goldsilver ameanza kuitaja sura! SURA ndiyo Mainswitch ya mambo yote! Kuna watu mfano akiwa anaogelea iwe baharini, pool , ziwani akijitumbukiza majini akabakiza kichwa nje ya maji ukitokea ghafla unawezashtuka na kutoka mbio ukidhani umemuona KIBOKO !