Kumtoa aliyefungwa gerezani (Hidden World) kwa jiwe la bahati

Kupata kiota cha kunguru nayo sio kazi ndogo
 
Kupata kiota cha kunguru nayo sio kazi ndogo
HA ha ha ha
kabisa ndugu lakini ukikutana na watu ambao tayari wanaelewa basi atakuambia tu twene mahali fulani mkifika hata hamuwezi kukosa kabisa
 
Hiyo ya kufuli sio ndege tu nimeogopa kuiandika tukatengeneza kizazi cha majambazi hapa
Mkuu andika.Usiogope ipi Sikh tutakuwa na uhitaji wala si wa kijambazi.Majambazi huwa hawasubiri humu wao huenda kwa masangoma hata kama ni Kongo.
 
Kuna point muhimu sana hapo....naomba iwafikie walokole wote na wale wanaotegemea upako tu [emoji3][emoji3]
 
Mkuu mm
Mkuu mm ni kijana mdogo Sana pakini Niko MORE THAN INTERESTED katika elimu hii ya mababu. Tuanzie wapi mkuu kufanya hilo swala??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…