Kumtoa mulugo ukamuacha kawambwa ni sawa?

Kumtoa mulugo ukamuacha kawambwa ni sawa?

NJALI

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
1,534
Reaction score
1,090
Wadau mimi nimeshangazwa sana kitendo cha Dr kikwete kumtoa Mulugo na kumuacha kawambwa! Hivi Mulugo si alikuwa anamsaidia kawambwa au sijui maana ya naibu waziri? Mbona nyalandu apande cheo wakati wizara yote ilikuwa inatuhumiwa? Hii inamaana kosa la kaghasheki nyalandu halikumhusu? Kama ndivyo mulugo hausiki pia na udhaifu wa kawambwa. Kweli hii nchi imefariki maana ingekuwa hai wangetolewa wote au kawambwa angetoka mulugo akapanda.
 
Back
Top Bottom