Duh!Kabla sijaweka nia ya kuandika makala tata kidogo, ahli ya yote yanibidi nianze kuuliza. Nimeona clip moja mitandaoni inasambaa kuhusu hotuba ya rais Samia akisema haya:-
"Fanyaneni Nyie Wakubwa kwa Wakubwa mnaojua hizo Haki zenu, msituharibie watoto zetu"
Je, ni kweli kasema maneno haya na kamaanisha vile vile watu vilivyoelewa?
Duh!
Binafsi sijui kama ni "kweli kasema" hayo maneno, kwa maana ndiyo mara ya kwanza nayasoma hapa toka kwako.
Kwa hiyo, sehemu ya kwanza ya swali lako, jibu ni hilo.
Kuhusu sehemu ya pili kama "kamaanisha vile vile", hapa sioni utata wowote kuhusu maana iliyolengwa. Anayetaka kuweka maana tofauti na inayoonyeshwa na hayo maneno atakuwa anatafuta tu ufundi wa kupindisha maana iliyo wazi kwa kila mtu mwenye akili ya kawaida kuelewa maana iliyolengwa.
Eh ..! Itafute mkuu tuwekee hapa...Kabla sijaweka nia ya kuandika makala tata kidogo, ahli ya yote yanibidi nianze kuuliza. Nimeona clip moja mitandaoni inasambaa kuhusu hotuba ya rais Samia akisema haya:-
"Fanyaneni Nyie Wakubwa kwa Wakubwa mnaojua hizo Haki zenu, msituharibie watoto zetu"
Je, ni kweli kasema maneno haya na kamaanisha vile vile watu vilivyoelewa?
EeeenHeeee!Kama ni mthihani wa Imla hala umepata 100 kwa majibu mazuri
Ndiyo kamaanisha hivyo. Wazanzibar huwa hawana kuremba wapo straight kwenye kauli zao na wanamaanisha wanachosema.Kabla sijaweka nia ya kuandika makala tata kidogo, ahli ya yote yanibidi nianze kuuliza. Nimeona clip moja mitandaoni inasambaa kuhusu hotuba ya rais Samia akisema haya:-
"Fanyaneni Nyie Wakubwa kwa Wakubwa mnaojua hizo Haki zenu, msituharibie watoto zetu"
Je, ni kweli kasema maneno haya na kamaanisha vile vile watu vilivyoelewa?
Kwa hiyo RUKSA?Ndiyo kamaanisha hivyo. Wazanzibar huwa hawana kuremba wapo straight kwenye kauli zao na wanamaanisha wanachosema.
Jibu hoja,usiudhitishie ujinga wako kwa kutukana.wajinga na vilaza woote huwa hawana hoja,wao ni matusi na kejeli.Ww mzee ulikuwa toilet paper ya magufuli
Kwa wakubwa tu lakiniKwa hiyo RUKSA?
Nikiwa bara nilikuwa nasikia ukanda wote wa Pwani mambo hayo ni kawaida.
Kuna hoja gani hapoJibu hoja,usiudhitishie ujinga wako kwa kutukana.wajinga na vilaza woote huwa hawana hoja,wao ni matusi na kejeli.
Sio wakati akiwa Makamu kayasema hivi juzi akiwa rais wa nchi..Ndio alisema kipindi akiwa makamo aliwalenga mafataki ambao wanasema wazee wenzao sio watamu kwa hiyo alitoa wito waache hizo tabia sivyo watakutana na mkono wa sheria
Hakuna alokuzuia kuonyesha Ujinga wako, maana ni haki yako kama ilivyo haki ya haooo..Kuna hoja gani hapo
Ipo wazi kwa kauli hiyo Rais halalalisha uchoko kwa watu wakubwa.
Lakini hilo halizuii maoni yangu ya mwanzo