Kumtongoza mke/mme wake

Noname

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2010
Posts
1,269
Reaction score
29
let me quote one of the member's comment. ...

Hehehehe kuna jamaa etu akisha piga ulabu huwa anamtongoza mke wake lol,
swali langu... sasa mie na shangaa mtu asipo mtongoza mke wake/ au mme wake where is the funny part of marriage? kama mwanaume/mwanamke hajui kusema maneno mazuri, kumsifia mke wake, kumtania etc... I think life can get really boring...


Kutongeza manake to flirting au? correct me if I am wrong
 

And what is does it mean by flirting?
 
And what is does it mean by flirting?
If you flirt with someone, you behave as if you are sexually attracted to them, in a playful or not very serious way.
 
If you flirt with someone, you behave as if you are sexually attracted to them, in a playful or not very serious way.

hapo sasa.....
sijui inaingiaje kwenye ndoa
 
umeamua uilete huku?.........
nitaijibia pia sababu nilishuhudia...!
jamaa alimtoa mkewe out.baada ya bia nyingi na nyama alisahau kwamba yupo na mkewe,alidhani yupo na kimada/baa medi kama kawaida yake.akawa anam-bamba sana na makissi na mahug.mkewe akajua ni pombe jamaa kafurahi.

mwisho wa siku kama saa nane usiku jamaa akamwambia mkewe....''SASA VIPI WEWE MREMBO LEO NAONDOKA NA WEWE AU HAUKO FREE?...CHUMBA NIMESHALIPIA...!''....
unajua kilichotokea?
 

mhhhh
 

Ina maana huyo jamaa hajawahi kabisa kutoka out na mkewe!
 
If you flirt with someone, you behave as if you are sexually attracted to them, in a playful or not very serious way.

So can someone flirt with his wife?
 
...ukiifanya kama game itakuwa exciting. Lakini akijua uko serious itakuwa noma. Jana Pape alisema kwenye thread mojapo humu, huna haja ya kumtongoza mkeo kwa kuwa tayari nyinyi ni mwili mmoja. Yaani, utajitongozaje mwenyewe hahahaha
 

Kujiexpresss
 

sawa lakini sialimtongoza mke wake na mke wake akafurahi?... halafu kwani hawezi kumpeleka mke wake hotelini? its good for a change😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…