Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Alimwaga NGADA sasa tatizo lipo wapi?! 🤣
NGADA km NGADA FcHata hivo kiswahili kwangu kinanipa shida..
Unga huu wa nafaka!
Unga huu wa kulevya?
Kama ni wakulevya ni ghali sana nafikiri sio rahisi kuumwaga bure [emoji1787]
Wakajifukiza ubani makha na chumvi ya mawe au walijifukiza Ngada?! 😂Kule South Africa wakaingia na jiko lao la mkaa wakachoma vitu vyao ,yaani hawa jamaa mpaka aibu.
Mganga wao aliwaambia siku wakibadilisha tu wanapotea na kweli ikatokeaKalogeni na jezi yenu ya njano ikiki...
Anzisha uzi kuhusu ushoga tukuoneshe jinsi mikia walivyoanza ushoga siku nyingiKuroga ni ushoga kipi ni aibu na kabwili alisema kaacha wenzake saba kabla penzi la Morrison na aziz ki kukolea.
Amejimaliza mwenyewe amesema "kuroga ni ushoga" kumbe wanauza ngada na kuroga wanaroga na ushoga wanaupendaAnzisha uzi kuhusu ushoga tukuoneshe jinsi mikia walivyoanza ushoga siku nyingi
Ndio nchi inayotaka lwenda kushiriki world cup 2030🤣🤣🤣🤣🤣