Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Nape hakumung'unya maneno, alisema wazi kuwa si rahisi mtu kushinda kwa kura wakati ipo namna kumtagaza aliyeshindwa kupitia watangaza matokeo.
It seems falsafa hiyo ya Nape ndiyo Chama kinachotawala kinaitekeleza. Tunaendelea kuona ubakaji kutisha wa chaguzi nchini.
Nape aliwahi kuzungumzia suala la goli la mkono, akimaanisha kuwa CCM itashinda hata kwa njia haramu.
Falsafa ya Nape imetekelezwa ipasavyo kwenye uchaguzi wa 2019, uchaguzi wa 2020, na sasa uchaguzi wa 2024 bila shaka na uchaguzi wa 2025 itakuwa ni hivyohivyo.
Sasa ninajiuliza kwa nini umtumbue msema ukweli kama Nape anayesema wazi kuwa hapa ni figisu mwanzo mwisho na umuache Mchengerwa anayesema uongo kuwa uchaguzi utakuwa wa haki kumbe anafanya dhulma ya kutisha.
Ni unafiki mkubwa kuongelea haki hadharani huku ukichagiza na kubariki dhulma sirini.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari