Kumtumia Fei Toto kupooza moto wa Derby haitasaidi

Kumtumia Fei Toto kupooza moto wa Derby haitasaidi

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
6,184
Reaction score
9,407
Naona Fei kila ikikaribia game ngumu anaibuka kutoka mafichoni na kuwahadaa Yanga kwa kesi isiyo na mashiko wala haimpi faida yeye zaidi ya anguko lake kimpira.

Na sisi wana lunyasi ikitokea Fei kutoka machakani tunahamisha focus yetu nakuanza kushabikia hii kesi kama vile tunampenda sana Fei toto kumbe hamna zaidi ya kushabikia vitu hata tusivyovijua na inatufanya tuonekane mipang'ang'a.

Wanalunyasi tufocus kwenye derby yetu tuachane na masuala ya fei na yanga tunatoka kwenye mchezo kizembe hata kama sisi ni mambumbumbu kwenye hili tukatae kutumika kijinga.

Tukatae ukolo, umbumbumbu, ungada na kuwa malalamiko fc na uchawi tuache hautusaidii mpira ni mchezo wa wazi.

JamiiForums-361498808.jpg
 
Hayo ya kwenu nyie utopolo. Fei na simba hawahusiani hata kidogo. Pambaneni na hali zenu.
 
Back
Top Bottom