Kumuaga boyfriend siku ya Sendoff

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Kwa kweli haka kajitabia sio kazuri kwa sisi wanawake ambao tumechumbiwa

Umechumbiwa, kila hatua imefanyika na harusi imepangwa bado tu humuachi boyfriend wako

Na hii tabia ya kumuaga boyfriend wako kwa kumpa papuchi na huku kesho au siku mbili zijazo utakuwa kwa mumeo si tabia nzuri hakika kwa kisingizio cha kuagana ni ujinga

Ukichumbiwa achana na boyfriend, wengine watakuharibia ndoa yako

Wengine wakisha olewa wanapanga ratiba ya kwenda nyumbani kwao kisingizio cha kwenda kumsalimia mama kumbe anaenda kwa boyfriend wake wa huko nyumbani kwao

Hii inawahusu wale wenye wachumba ambao wanakaa (Distance) mkoa kwa mkoa,mji kwa mji au nchi kwa nchi,kijiji kwa mji,kijiji kwa kijiji,hii tabia ni mbaya

Jifunze kuacha
 
We umefikiria nini au ndo tabia yako umeikumbuka !?, mbona walioitawala Tz enzi izo wanaifadhili hadi sasa ijapokua tunamume mpya china
 
My formular is 'never ever trust a woman'......wanavyo tendea wa umme zao ni mengi sanaa,
 
Kwa hiyo ushachumbiwa kumbe?
 
Nilipo kuwa mdogo miaka ya 80 huko kuna mdada jirani alikuwa anaolewa, nakumbuka alienda kumuaga mjomba wetu
Haya mambo nyapo siku nyingi
 
Umenikumbusha kuna dada mmoja niliagana nae rasmi baada ya kutoka kwenye kitchen party tuka-do kwa mara ya mwisho yaani nakumbuka zile nywele zake siku ile za kitchen party hata alikuwa hajafumua. Siku ile nilipiga mashine balaa ila alivyoolewa nilimpotezea mazima. Kwenye harusi nilikuwa namchora tu Bw. harusi ha ha ha
 
Na hii ndiyo sababu kubwa mnatubambikia watoto wasio wetu
 
Na dharau juu
 
Kuna m1 single mama anaolewa nimekuwa nikimpoza toka siku nyingi sana wekeend hii naenda kumpiga mara ya mwisho. Naomba tu shetani asije mpitisha kwenye uzi huu kabla ya kuagwa.
 
Umeongea ukweli mtupu. Kuna baadhi ya wanawake hawajitambui katika/ndani ya uchumba wao.

Hawajui kuwa wanaweka zindiko la ndoa yao kwa uzinzi.
Kuna watu hawajui thamani ya uchumba na ndoa.
Ndiyo matokeo yake ni ndoa nyingi kuvunjika mapema hata kabla ya mwaka.
 
Prosititution
 
mwanamke haaminiki hata akiwa mama yako! kwa kuwa anaweza kukupa baba asiye wako!
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ You made my day brother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…