Kumuangalia Mayele akitupia kambani na kisha kuitetemesha Nchi na Le dance de Mayele

Pah Amadu

Member
Joined
Feb 16, 2022
Posts
22
Reaction score
19
Kwa wapenzi wa kandanda ambao wanaelewa components za "Perfect Skriker" ni lazima watakubaliana na mimi kwamba Fiston Mayele ni bonge la straika ambaye dunia ya sasa inamuhitaji zaidi kuliko usingizi unavyozihitaji njozi.

Sio rahisi kupata straika wa aina ya Mayele. Mayele ni kama Brenda zitengenezwazo Kiev kule kwa mwamba Putin yaani hazichagui kitu cha kusaga zinasaga mpaka meno. Basi Mayele naye hachagui mpira wa kuweka kimiani. Za kichwa twende! Acrobatic kwake ni km Samaki na maji! Freekick anaweka simply tu km mama ntilie anavyobandika maharage jikoni! Mipira ya kupress kambani anapress tu! Magoli ya kukimbizana anakukimbiza mpk jasho la meno linakutoka na kamban anaweka. Huyu Mayele ameshindikana.

Dunian kuna starehe kubwa mbili ambazo waliooa huwa wanazipata kila siku Mayele anapokuwa uwanjani:-
1. Kumuangalia Mayele akitupia kambani na kisha kuitetemesha Nchi na Le dance de Mayele
2. Mama kitunao kule Nyumbani baada ya kumaliza kula na kisha kuanza KURA.

Pah Amadu de hunter[emoji871]
 
Yaani kumuangalia mayele ikawe burudani nambari wani kuliko burudani ya mama kiduku wangu, huwezi kuwa serious, nishamtizama andunje messi na roboti ronaldo(wachezaji dhahabu wa 2008 mpaka hivi leo wanaishia ishia) lakini pale kati hapa mafanowe.
 
Hahahaa yaan c unaanzia uwanjani kwa Mayele hlf unrudi nyumbani kumalizana na Mama Ubaya
 
Kwa wapenzi wa kandanda ambao wanaelewa components za "Perfect Skriker" ni lazima watakubaliana na mimi kwamba Fiston Mayele ni bonge la straika ambaye dunia ya sasa inamuhitaji zaidi kuliko usingizi unavyozihitaji njozi.

Sio rahisi kupata straika wa aina ya Mayele. Mayele ni kama Brenda zitengenezwazo Kiev kule kwa mwamba Putin yaani hazichagui kitu cha kusaga zinasaga mpaka meno. Basi Mayele naye hachagui mpira wa kuweka kimiani. Za kichwa twende! Acrobatic kwake ni km Samaki na maji! Freekick anaweka simply tu km mama ntilie anavyobandika maharage jikoni! Mipira ya kupress kambani anapress tu! Magoli ya kukimbizana anakukimbiza mpk jasho la meno linakutoka na kamban anaweka. Huyu Mayele ameshindikana.

Dunian kuna starehe kubwa mbili ambazo waliooa huwa wanazipata kila siku Mayele anapokuwa uwanjani:-
1. Kumuangalia Mayele akitupia kambani na kisha kuitetemesha Nchi na Le dance de Mayele
2. Mama kitunao kule Nyumbani baada ya kumaliza kula na kisha kuanza KURA.

Pah Amadu de hunter[emoji871]
atetemeshe nchi kwa kutishingisha maziwa hauko serious kijana hebu amka ukanywe chai
 
Shemeji, amka chai tayari🤣
 
Pah amadu the hunter. Here comes chief of sorcerers who inherited instruments from her ancestors. We are told that her great grand father told her that her grand father told her...

Meet yah posseh chief of women circumcisers
 
Pah amadu the hunder. Here comes chief of sorcerers who inherited instruments from her ancestors. We are told that her great grand father told her that her grand father told her...

Meet yah posseh chief of women circumcisers
Yaap yaap yaap[emoji1787]
 
Mkuu, wewe ni zaidi ya Professor, umewasilisha mada yako kwa namna iliyotukuka. Yanga ni zaidi ya dini, kuangalia Yanga ni ibada
 
Nenda kwa Mama Kiringe agiza Supu ya mapupu na Chapati 4 hela atalipa Mayele cku ya tarehe 23 kule Manungu
 
Huna mke wewe mpiga puchu. Yaani dume zima unajisifia starehe yako ni kumuangalia mwanaume mwenzako akitingisha mabega....wtf
S9ma vizuri uelewe, BAADA YA TENDO LA NDOA NI MAYELE. Unatumia Window ngapi kufikiri mzee???
 
Nilicho jifunza kwenye bandiko lako

1. Hii nchi ina ujinga mwingi mno

2. Mtoa mada hujawai kula wali maharage na samaki

3.Uliandika huu uzi baada ya kushiba kiporo cha kunde

4.Verified Chaputa member
 
Asante sana ndg. Mwenyekiti wa Chaputa kwa kunikarbisha kwenye chama chako
 
Kwa wapenzi wa kandanda ambao wanaelewa components za "Perfect Skriker" ni lazima watakubaliana na mimi kwamba Fiston Mayele ni bonge la straika ambaye dunia ya sasa inamuhitaji zaidi kuliko usingizi unavyozihitaji njozi.

Sio rahisi kupata straika wa aina ya Mayele. Mayele ni kama Brenda zitengenezwazo Kiev kule kwa mwamba Putin yaani hazichagui kitu cha kusaga zinasaga mpaka meno. Basi Mayele naye hachagui mpira wa kuweka kimiani. Za kichwa twende! Acrobatic kwake ni km Samaki na maji! Freekick anaweka simply tu km mama ntilie anavyobandika maharage jikoni! Mipira ya kupress kambani anapress tu! Magoli ya kukimbizana anakukimbiza mpk jasho la meno linakutoka na kamban anaweka. Huyu Mayele ameshindikana.

Dunian kuna starehe kubwa mbili ambazo waliooa huwa wanazipata kila siku Mayele anapokuwa uwanjani:-
1. Kumuangalia Mayele akitupia kambani na kisha kuitetemesha Nchi na Le dance de Mayele
2. Mama kitunao kule Nyumbani baada ya kumaliza kula na kisha kuanza KURA.

Pah Amadu de hunter[emoji871]
Perfect Skriker sawa ila perfect striker napingana na wewe
 
Back
Top Bottom