Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu nina mtoto wa marehemu kaka yangu msichana amefeli kidato cha nne, amepata zero. Nataka nimuendeleze kuanzia certificate naomba maoni yenu, kozi ipi itamfaa, yeye anapendelea nursing na utalii
Pia
Nami naomba msaada.
Nina mdogo wangu wa Kike alipata FOUR ya 35 ana C za English & Kiswahili na Hakusoma Sayansi.
Msaada,
Kozi gani itamfaa?.....
Wakuu nina mtoto wa marehemu kaka yangu msichana amefeli kidato cha nne, amepata zero. Nataka nimuendeleze kuanzia certificate naomba maoni yenu, kozi ipi itamfaa, yeye anapendelea nursing na utalii
ualimu mkuu!?
Aende UALIMU mkuu !
!
:msela:
changia kwanza mada iliyopo mezani, kama ulikuwa unahitaji msaada ungefungua uzi wako, usibandike tangazo juu ya linginePia Nami naomba msaada. Nina mdogo wangu wa Kike alipata FOUR ya 35 ana C za English & Kiswahili na Hakusoma Sayansi. Msaada, Kozi gani itamfaa?.....
changia kwanza mada iliyopo mezani, kama ulikuwa unahitaji msaada ungefungua uzi wako, usibandike tangazo juu ya lingine
Ahsante Mkuu
Naomba radhi kwa hilo.