Kwenye Utalii sahau Kaka! Huko ni kumpeleka kusomea "U-baamedi" tu hakuna lolote za ziada! Wazazi na Watoto wangi wanapotezwa na Matangazo mengi na Mazuri ya Vyuo vya Utalii ambavyo vingi ni feki tu, hakuna lolote. Wiki mbili tu ndani ya Masomo katika Vyuo hivyo, Watoto, hasa wa Kike, ni "twisheni" za uhakika za ngono na mengineyo. Achana nayo!
Kuna maswali mengi ya kujiuliza kabla ya ushauri wa kama arudie Shule au la. Cha msingi, haya ni maamuzi ya "future" yake. Kaa chini fanya tafakari ya kutosha na ufanye maamuzi sahihi. Kama mambo yote yako sawa, basi arudie Shule katika mazingira tofauti.