Kumuonea wivu Ex wako Kuingia Ktk Mahusiano Mapya Niwivu Au Nichuki?

Kumuonea wivu Ex wako Kuingia Ktk Mahusiano Mapya Niwivu Au Nichuki?

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,404
Salaam.wakuu Habari za Weekend Mkopoa Matumaninu Yangu Nashukuru

Naomba Kuuliza Au Kushare Hili Tujajadili Pamoja Huwenda Tukapata Hitimisho kwa Ushauri na Uchangiaji Mbali Mbalii.

Hivi Nikwanini Watu Wanao Kuwa katika Mahusiano Wakiachana Kila Mmoja Hatamani Au Kutaka Kuona Mwenzie Akiwa Katika
Mahusiano Mapya!??

Natamani Kujuwa Huwa Niwivu Wakinapenzi Bado upo. Au Nichuki??

Unakuta Mtu anaumia Kbs Na kujisikia Vby Akigundua Kuwa Umepata Mwingune
Hasa Akisikia au Kuona Mapenzi Yamekuwa Motomoto

Wasalaaam....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww mbna unamuonea wivu zari na hamissa mobeto ??

yess BiShoo haswaaA
 
Back
Top Bottom