Chibudee JF-Expert Member Joined Dec 28, 2016 Posts 1,775 Reaction score 2,404 Jan 18, 2020 #1 Salaam.wakuu Habari za Weekend Mkopoa Matumaninu Yangu Nashukuru Naomba Kuuliza Au Kushare Hili Tujajadili Pamoja Huwenda Tukapata Hitimisho kwa Ushauri na Uchangiaji Mbali Mbalii. Hivi Nikwanini Watu Wanao Kuwa katika Mahusiano Wakiachana Kila Mmoja Hatamani Au Kutaka Kuona Mwenzie Akiwa Katika Mahusiano Mapya!?? Natamani Kujuwa Huwa Niwivu Wakinapenzi Bado upo. Au Nichuki?? Unakuta Mtu anaumia Kbs Na kujisikia Vby Akigundua Kuwa Umepata Mwingune Hasa Akisikia au Kuona Mapenzi Yamekuwa Motomoto Wasalaaam.... Sent using Jamii Forums mobile app
Salaam.wakuu Habari za Weekend Mkopoa Matumaninu Yangu Nashukuru Naomba Kuuliza Au Kushare Hili Tujajadili Pamoja Huwenda Tukapata Hitimisho kwa Ushauri na Uchangiaji Mbali Mbalii. Hivi Nikwanini Watu Wanao Kuwa katika Mahusiano Wakiachana Kila Mmoja Hatamani Au Kutaka Kuona Mwenzie Akiwa Katika Mahusiano Mapya!?? Natamani Kujuwa Huwa Niwivu Wakinapenzi Bado upo. Au Nichuki?? Unakuta Mtu anaumia Kbs Na kujisikia Vby Akigundua Kuwa Umepata Mwingune Hasa Akisikia au Kuona Mapenzi Yamekuwa Motomoto Wasalaaam.... Sent using Jamii Forums mobile app
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Jan 18, 2020 #2 Ww mbna unamuonea wivu zari na hamissa mobeto ?? yess BiShoo haswaaA
Kyodowe JF-Expert Member Joined Mar 6, 2013 Posts 1,236 Reaction score 1,368 Jan 18, 2020 #3 Uzi kama huu sichangiaji Sent using Jamii Forums mobile app
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,394 Reaction score 59,069 Jan 18, 2020 #4 Ni chuki. Sent using Jamii Forums mobile app
Gyole JF-Expert Member Joined Sep 20, 2013 Posts 7,008 Reaction score 7,059 Jan 18, 2020 #5 Hisia zinakuwa bado zipo kwake, moyo unauma Kama wote Sent using Jamii Forums mobile app
Sic March JF-Expert Member Joined Mar 2, 2019 Posts 690 Reaction score 906 Jan 18, 2020 #6 Ni wivu tuu Boy with mission Sent using Jamii Forums mobile app
agata edward JF-Expert Member Joined Nov 25, 2014 Posts 6,641 Reaction score 9,400 Jan 18, 2020 #7 Chuki+ wivu