Kumuua Ali Hassan Salameh/Abu Hassan

Very intelligent these people, wanawaza na kutenda nje kabisa ya mitazamo ya kawaida
 
Naomba nikujibu mkuu.

Hawa jamaa wa Palestina wanaenda kudhuru watu wasio na hatia, ndio maana wanaitwa magaidi. Mfano, hilo tukio la Munich au september 11. Huwezi kuwaita makomando watu wa aina hii.

Upande mwingine hawa jamaa wa Israel wanaenda kuwadhuru watu walio fanya mauaji ya ndugu zao, au watu wanaotishia usalama wao. Huwezi kuwaita magaidi watu wa aina hii.

Nasubiri kusikia kutoka kwako!
 
Okay nimekuelewa mkuu juu ya tofauti hizo ila umegusia kuhusu wasio na hatia na wenye hatia basi twende pamoja unieleweshe

kuna mission mfano walipolipua hospitali kule gaza ikaua wamama na watoto wasio na hatia ila walisema makomandoo ndio walitekeleza ile mission ..... ilihali wapalestina walipoenda kumteka mwenye hatia yaani mwanajeshi wa israel aliyeitwa Koplo Gillad sharit kama sikosei ilikuwa 2007 vitani waandishi wa kimataofa wakasema MAGAIDI wa palestina wamteka mwanajeshi wa israel ndio maana huwa napata si tofahamu au ni kwamba wapalestina wote ni magaidi/wanamgambo ila waisrael ndio wana makomandoo/wanajeshi .... Au sababu palestina haitambuliki kama nchi hivyo wanahesabika wana magaidi sio jeshi??

Nitoe tongotongo
 
Akikujibu nitag
 
Ugaidi ni kitendo cha kutumia nguvu (violence) dhidi ya raia (civilians) kushinikiza matakwa ya kidini au kisiasa.

Hivyo basi, unapozungumzia Israel kulipua hospitali kitu cha kwanza tutakachokiangalia ni lengo la kulipua. Je, ilikua lengo lao kulipua hospitali kwa maslahi ya kisiasa au kidini?

Jibu ni hapana, walilenga kumlipua adui mwingine ila kwa bahati mbaya mlipuko ukatokea hospitali. Hizi bahati mbaya zinatokea mara nyingi tu kama kisa cha bomu la Urusi na ndege ya Malaysia (if not mistaken). Na hata kisa cha mleta mada kinaonesha moja ya bahati mbaya ambapo assassins wa kidon waliua mtu asie mlengwa!

Lakini pia, sidhani kama kuna nchi ya magaidi dunia hii kama wewe unavyoiongelea Palestina. Ninachofahamu ni uwepo wa vikundi vya kigaidi ambavyo baadhi vimeweza kucontrol baadhi ya maeneo.

Palestina au Pakistan au Afghanistan hawakuishambulia marekani, ila baadhi ya raia wa hizo nchi chini ya kikundi cha kigaidi (Al Qaeda) ndio waliofanya shambulio la kigaidi.


Kwa mantiki hiyo, Tanzania ikifanya jaribio la kumuua raia wa nchi nyingine nje ya Tanzania kwa maslahi ya nchi, hiyo itakua ni act of war. Ila kikundi cha watu wasiotambuliwa na serikali kikifanya tukio la aina hiyo kwa matakwa ya kidini au kisiasa, huo ndio ugaidi wenyewe!

Naamini nimekujibu kwa kiasi chake!

Pia nakupa pole mkuu, kipigo cha Liverpool Vs Madrid kilikua cha mbwa koko. Sasa UEFA imeenda spain, EUROPA imeenda Spain. Poleni wana EPL!

[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Nimefuatilia uchangiaji wako, kumbe ni mtu mwehu hakuna mfano! nahisi something wrong huko upstairs!
Wewe unajiona uko sawa kwa kufuatilia uchangiaji wa wanaume wenzako humu JF!? Aiseeee!
Kweli kazi ipo!
 
Wewe unajiona uko sawa kwa kufuatilia uchangiaji wa wanaume wenzako humu JF!? Aiseeee!
Kweli kazi ipo!
Lazima tukufuatilie una madhumuni gani kwani toka ujiunge JF siku chache zilizopita umekuwa mtu wa kuharibu mijadala na matusi! jee umetumwa kuja kuharibu au wewe ni kichaa? usituharibie jukwaa
 
Lazima tukufuatilie una madhumuni gani kwani toka ujiunge JF siku chache zilizopita umekuwa mtu wa kuharibu mijadala na matusi! jee umetumwa kuja kuharibu au wewe ni kichaa? usituharibie jukwaa
Nisikuharibie jukwaa wewe ni nani hapa? Mimi niko JF tokea inazaliwa. Nilikuwa Jambo forums kabla haijawa JF. Nilikuwa Young Africans forums....bila shaka wakati huo bado ulikuwa unapenga kamasi na shati lako la shule.
Upuuzi unaoandika humu unafikiri kila mtu anakuunga mkono!? Jifunze kuheshimu mitazamo tofauti.
Mpuuzi wahedi wewe!
 
Basi unabadili ID kila kukicha kama Malaya! Na kama ulikuwepo na uandikaji wako ndio huo huna la maana hapa zaidi ya kujaza saver tuu!
 
Basi unabadili ID kila kukicha kama Malaya! Na kama ulikuwepo na uandikaji wako ndio huo huna la maana hapa zaidi ya kujaza saver tuu!
You are such a pathetic uncircumcised baboon!
 
Mkuu kama una soft copy ya kitabu cha one day in September naiomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…