Kumuua Ali Hassan Salameh/Abu Hassan

Kitabu cha matukio hayo kinaitwa THE HEAT TEAM. Nilikisoma mwaka 1992. Kinahadithia mauaji ya wote walioshiriki kupananga mauaji ya olympic 1972.
Kuhusu kuitwa makomandoo au magaidi ni mtazamo tu. Mandela tulikuwa tunamuita mpigania uhuru, mpaka leo hajaondolewa kwenye orodha ya magaidi na serikali ya Marekani. Sisi Tanzania tunawaita wapalestina wapigania uhuru. Magharibi wanawaita magaidi. Ni mtazamo tu.
 
Mkuu, historia inaandikwa na mshindi. Na yeye huamua kuwaita maadui zake majina mabaya .
Wapalestina nawo wakiandika watatumia majina mabaya kwa waisrael.

Ni kama kwenye WWII, akina Hitler wangeshinda wangejiandika kwa majina mazuri mazuri .
Huo ndo ukweli
 
It needs more than a man to be a MOSAD AGENT......"THEY cared about JEWS, now is our CHANCE"
 
Huyo bwana alikuwa mtu wa kazi, hata siku anakufa aliletewa BARUA lakini walinzi wake wakaona aifai kumuamsha boss , hivyo wakamuacha mpaka alivyoamka na kuingia kwenye gari ndio wakampa ile BARUA, kumbe ile BARUA ilikuwa inamuonya asitoke ndani Mossad walikuwa wanataka wamuue,sasa basi ile anamaliza kusoma tu Bomu likalipuka shughuli ikawa imekwisha
 
Mmmh! Hii ngumu kumeza, nani aliyetoa hiyo taarifa kwamba alipomaliza kusoma bomu likalipuka? Kulikuwa na rada ikifuatilia? Au mtu aliyekuwa naye kwenye gari? 😂😂😂
Punguza chumvi
 
Mmmh! Hii ngumu kumeza, nani aliyetoa hiyo taarifa kwamba alipomaliza kusoma bomu likalipuka? Kulikuwa na rada ikifuatilia? Au mtu aliyekuwa naye kwenye gari? 😂😂😂
Punguza chumvi
Mkuu kabla sijakujibu maswali yako , unafanya conclusion , hii inakuwa haina maana ya kujibu kwa sababu una jibu lako ahahahaahahhaa
 
Mandela walishamuondoa kwenye list mkuu, nadhani katika kipindi cha Obama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…