Kumvalisha mtoto diapers/pampers muda mrefu kunaweza kuleta shida ya nguvu za kiume?

hmaloh

Senior Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
162
Reaction score
314
Naomba kuuliza wananzengo je, ni kweli kumvalisha diapers/pampers mtoto wa kiume kwa muda mrefu kunaweza kumletea shida ya nguvu za kiume hapo baadaye.
 
Mtoto wa kiume anavalishwa Masempele & Madaso (Vipande vya kanga vya mkeo)

Chukua kanga za mkeo hata 3 zikate Vipande Vipande vya kutosha Kisha Tafuta mifuko laini midogo ambayo baada ya kumnepisha masempele hizo karatasi au mifuko laini unaipitisha Kwa juu ili mtoto akikojoa au kujisaidia haja au mkojo hautotoka nje Kwa kuchuruzika!

Hizo Diapers achana nazo,ukishupaza shingo usije ukamlumu mwanao baadae atakapokuja Kuwa kama kina fulani!
 
Sawa kaka kwa ushauri
 
Kende au Mapumbu yanatakiwa kupata hewa ya kutosha muda wote
 
Back
Top Bottom