Kumvuta mpenzi kwa kutumia mshumaa

Kumvuta mpenzi kwa kutumia mshumaa

Dr leader

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
893
Reaction score
1,021
Kumvuta au kumfunga mpenzi kwa kutumia mshumaa

Chukua mshumaa mweupe chagua unaowahi kuisha haraka uwe mnene kiasi.

Tandika kitambaa cheupe weka kitu chochote kinachomhusu huyo mwanamke au mtu unayemkusudia ima chake au alichowahi kushika, Chukua mwiba, pini au waridi andika mshumaa huo "mapenzi yako yote yaje kwangu" mara 3

Kazi hii ufanye usiku wa kuamkia ijumaa saa 6 na kuendelea ila hakikisha kabla ya asubuhi ya kweli haijaingia
weka mshumaa katika kitambaa cheupe kisha uwashe na uwe unauwaangalia halafu unasema yale unayotaka kwa mtu huyo na jinsi atakavyokuwa kuwa kwako, fanya hivyo nusu saa kisha lala
uache mshumaa huo uwake wenyewe mpaka uzime.

Kisha chukua mabaki ya mshumaa uyafunge kwenye hicho kitambaa cheupe ulichotumia na uyahifadhi mahali popote ambapo mtu hatayaona, kisha toka nje ita jina la mtu huyo mara 7 ukielekea kaskazini baada ya hapo rudi ndani bila kuangalia nyuma. Endelea na ratiba zako za siku ukiwa na imani ya kupata majibu
 
Kumvuta au kumfunga mpenzi kwa kutumia mshumaa

Chukua mshumaa mweupe chagua unaowahi kuisha haraka uwe mnene kias
Tandika kitambaa cheupe weka kitu chochote kinachomhusu huyo mwanamke au mtu unayemkusudia ima chake au alichowahi kushika, Chukua mwiba,pini au waridi andika mshumaa huo "mapenzi yako yote yaje kwangu" mara 3
kazi hii ufanye usiku wa kuamkia ijumaa saa 6 na kuendelea ila hakikisha kabla ya asubuhi ya kweli haijaingia

Hapo kutoka nje kisha kuita mara 7 majirani watakupeleka mirembe😂
 
Uganga ndio huu 😅
 
Back
Top Bottom