kumwambia "tufunge ndoa"

Soulbrother

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2009
Posts
405
Reaction score
17
Je ni njia gani "romantic" ya kumwambia wakati umefika wa kufunga ndoa?
 
mhhh.......
waone wazazi wake........
 
Hilo linaeleweka ila natafuta njia ya kumwambia kwanza... njia itakayompendeza

punguza kuiga sinema kaka...
mwambie mkiwa kitandani asubuhi kabla hujaenda kazini.....
maagizo achana nayo....
 
Kazi kweli kweli ukiigiza sana anaweza dhani unamtania lol!
 
Hii Kweli JF!
Wakati unnaanza nae ulimwabiaje?
Ngoja nikusaidie
Unaanza
Honey wewe ni Blueband kwenye mkate wangu....
wewe ni mboni ya jicho langu! Wewe ni blanket kila ninapopata baridi........
Bila wewe mimi sina sababu ya kuishi dunia hii..... nataka kuishi na wewe maisha yangu yote......
Would you Marry Me.....!
Try that
Ila usiwe kama wale wenye ukoma 9 ukifabikiwa kuambiwa yes!!!!!!!
 
One word....sponteinity - straight from the heart. You do not necessarily need champagne and caviar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…