FPN
Member
- May 10, 2024
- 52
- 92
1) Intelligent Quotient (IQ)
2) Emotional Quotient (EQ)
3) Social Quotient (SQ)
4) Adversity Quotient (AQ)
1. Intelligence Quotient (IQ): hiki ndicho kipimo cha kiwango chako cha ufahamu. Unahitaji IQ kukokotoa hesabu, kukariri mambo, na kukumbuka masomo.
Example 220÷2=110
Me:220/2=200/2+20/2
100+10=110.😊😊😊😊 Haya tuendelee.
2. Emotional Quotient (EQ): hiki ni kipimo cha uwezo wako wa kudumisha amani na wengine, kushika wakati, kuwajibika, kuwa mwaminifu, kuheshimu mipaka, kuwa mnyenyekevu, mkweli na mwenye kujali.
3. Social Quotient (SQ): hiki ni kipimo cha uwezo wako wa kujenga mtandao wa marafiki pamoja na jamii inayokuzunguuka kwa ujumla na kuudumisha kwa muda mrefu.
4. Adversity Quotient(AQ)Kiwango cha kuhimili Magumu : Kipimo cha uwezo wako wa kupitia sehemu mbaya ya maisha, na kutoka humo bila kupoteza akili yako.
Point to Note
~In really life watu wenye IQ huwa wanaajiriwa na watu wenye EQ,SQ and AQ.
~AQ:kiwango Cha kuhimili Magumu ni IQ Bora zaidi kuliko zote kwa Sasa japo kwa zamani SQ ndo ilisadikika kuwa Bora lakini kupitia matukio na matatizo mbalimbali yanayowakuta wanadamu baada ya kupitia magumu mfano kujinyonga, kuuana kwasababu mbalimbali za mapenzi n.k kunafanya AQ ndo inakua Bora kuzidi zote.
Imeandaliwa na;
Faustine Paschal Nyambita(BABA ETHAN)
Mwandishi huru wa kujitegemea.
Contacts; +255786948865/+255677800787.
Mail; faustinenyambita00@gmail.com