BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Kuwa na mahusiano na Mwanamke ambaye anapatikana muda wowote pale anapohitajika ni kitu cha muhimu sana kwa sisi ambao bado tunapigania kombe na hatuna wake.
Kuna jirani yangu alikuwa ananisaidia sana wakati wote sikuwahi kuiona value yake mpake pale alipohama mkoa kutokuwepo kwa huyu binti kumefanya mambo kuwa magumu to the maximum mara nyingi ilikuwa mishe zangu zikienda ndivyo sivyo stress nilikuwa natolea kwake.
Shida nazopitia kwa kukosa uwepo wake matamanio ya kingono yamekuwa juu kwenye wakati ambao pesa ni ngumu saa hivi 24 hours nawaza ngono in other words upwiru unanitesa.
Juhudi za kutafuta replacement yake zinagonga mwamba unapata mtu lakini sio loyal kama alivyokuwa jirani yangu yaani mtu kuja magetoni mpaka ujielezee wakati jirani yangu ilikuwa simu moja tu.
Conclusion kwa sisi ambao kwangu pakavu kumpata mtu ambaye yupo tayari wakati wowote kuna punguza ukali wa maisha.