Uchaguzi 2020 Kuna alichojifunza mzee baba hadi sasa?

Ni kwa vile unafuatulia kampeni kupitia twiter account ya kigogo,

Huku field kijana mambo ni mazuri sana kwa JPM.

Basi kwa vile nyie ni wagumu na wabishi tusubiri oktoba.
Kwani Twitter Kuna maroboti ?
 
Katika mikoa ambayo nilitegemea upinzani utapata tabu Sana kwa mahudhurio ni Kanda ya ziwa lakini mambo yamekuwa kinyume.

Watu wamemchoka jiwe kila mahali
 
Mimi hata simuelewi anaongea tu trilioni sijui tumenunua ndege , tumejenga hospital . Mimi asinihusishe kabisa sijanunua nae chochote wala sijajenga nae tena aishie kuleee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe jamaa vipi aise mbona unauliza swali Kama mtoto.

CCM fanyeni tu ndo Haki yenyewe MH TL anawapigania hiyo.

Ila hamjielewi ni kama zombies tu!
U can not build a nation kwa demonstrations but via hard work , hata yellow vest in France walikuwa wanatawanywa

Kwa hiyo na wafaransa hawajielewi
en.m.wikipedia.org › wiki › Yellow...
Yellow vests movement - Wikipedia
yellow vest protest from en.m.wikipedia.org
The yellow vests movement or yellow jackets movement is a populist, grassroots ...
Injuries: 4,000 (police and civilians)
Date: 17 November 2018 – present; (1 year, 9 months and 5 days)
Background
 
Ni kwa vile unafuatulia kampeni kupitia twiter account ya kigogo,

Huku field kijana mambo ni mazuri sana kwa JPM.

Basi kwa vile nyie ni wagumu na wabishi tusubiri oktoba.
Magu hakubaliki na wenye akili.
 
Wakuu sahauni kabisa kama lisu atashinda uchaguzi. Sababu ninazo tena za msingi sana. Wapigakura wa chadema wengi ni wavuta bange, bodaboda na vijanavijana wengi ambao hawana elimu isipokuwa mob psyologt pekee. Ikumbukwe watu hawa ndio waliogoma kufanya update kwenye daftari la wapiga kura wakisema kupiga kura ni kupoteza muda sababu tyari mshindi ni ccm. Hivo robo ya watu mnaowaona hawana kadi za kupigia kura. Robo ingine ni wafuasi wa ccm wengine wafuasi wa vyama vingine hivo karibia nusu ya mnaowaona ndo wapiga kura wa chadema.
 
Ni kwa vile unafuatulia kampeni kupitia p account ya kigogo,

Huku field kijana mambo ni mazuri sana kwa JPM.

Basi kwa vile nyie ni wagumu na wabishi tusubiri oktoba.
Nyie wenye njaa zilizopanda kichwani ndio mnaomdanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…