Kuna aliyeiona hati ya mashtaka kwa watuhumiwa kesi ya binti wa Yombo? Kwanini haiwekwi wazi?

Watuhumiwa wenyewe sura zao ni tofauti na wale walioonekana kwenye zile video.
Binti wa Yombo pekee ndo shahidi wa kweli vinginevyo kesi itatupiliwa mbali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…