Kuna aliyemuelewa vyema hapa Mchambuzi Oscar Oscar wa E FM na Tv E?

Kaandika hivi: Muongoza Ligi yuko Mbeya na Mbeba Ubingwa yuko Dar es Salaam.

Kazi Kwenu.
Nadhani huyu jamaa mambo mengi hufanya kiutani zaidi, hasa kulingana na aina ya soka letu na ushabiki wetu
 
Hakuna wachambuzi wa soka TZ...ila huko media kumejaa magenge ya simba na yanga, na ndiko shida inakoanzia.
 
Ningekuwa na uwezo ningefungia media zote vipindi vya michezo.

Kumeja wahuni watupu..

Yani 'Nonsenses.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…