Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Kipindi Samia anaweka tozo alikuja na ahadi lukuki ya kuendeleza miundombinu ya elimu na maji kupitia makusanyo ya tozo.
Nilikwenda mikoa ya kusini kuzungukia shule za msingi za vijijini, kisha nikaenda Morogoro DC kuzungukia shule za msingi na sasa niko Tabora.
Nilichokiona ni vitukuto. Hizo tozo mnazipeleka wapi? Hawa raia maskini wananufaikaje? Yaani kuna watu wanaishi kwenye mazingira duni sana wakati huo huo wengine wanachota hela kujenga timu zao za mpira.
Mtalaaniwa nyie.