NgugiAchebe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,024
- 688
Kaka labda 2020 ndio atafikisha views hioAchana na wcb wao kiki zao zote zimebuma. Watu wamemkazania ommy sababu ya kubebwa na kiba. Kiba kasema hatoi wimbo mpaka ommy afikishe views 3mil
Mashabiki wake wanakesha Youtube, wamepewa mtihani mgumu, anawanyanyasa kweli[emoji16][emoji16]Alikiba kaishiwa... hivi omy atafikisha mil3 viewers [emoji23] [emoji23] ...
mziki wa masharti mashabiki zake wana tabu
Ni Jaffarai we boya, unajifanya unajua kumbe waungua juaNiko hapa nasoma hii thread huku efm ngoma ya j-mo niko busy inapigwa,aisee vijana wa sasa hawaumizi vichwa kabisa
Mashabiki wake wanakesha Youtube, wamepewa mtihani mgumu, anawanyanyasa kweli[emoji16][emoji16]
[emoji23] Ushabiki wa kunyanyasika siuwezi, hapo ndipo Mtoto wa madale anapowapiga bao hanyanyasi mashabiki zakeMashabiki wake wanakesha Youtube, wamepewa mtihani mgumu, anawanyanyasa kweli[emoji16][emoji16]
Hujanielewa nmesema atembelee nyota,unajua kutembelea nyota mkuu?Ukiiga nyota ya diamond. Angalia utaonesha chupi barabarani kwake yy haonagi vibaya