Kuna aliyewahi kudate na persian girl humu anipe uzoefu?

Soma hiyo:-

 
Kama ni Muslim huwa jamii ya Kanda alipotoka wanafunga ndoa za Muta/mkataba hata mwezi mmoja ni wewe tu.
Tumia njia hiyo kuwa tufunge ndoa ya mkataba miezi miwili ili ukimshindwa unasubiri mkataba uishe ...
Kuwa makini ni mafia balaa usikubali kuingizwa katika biashara za madini utakuja kamatishwa maana ndoo biashara kubwa now wanakuja nayo hiyo jamii.
 
Shukrani
 
Sawa mkuu, shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…