Kuna Aliyewahi Kufuata Maelekezo Akafanikiwa Kwenye Hili?

Kuna Aliyewahi Kufuata Maelekezo Akafanikiwa Kwenye Hili?

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Nimekuwa napokea meseji nyingi za hivi, lakini nikifuata maelekezo sioni matokeo👇

Ndugu Mteja, tuma taarifa za UTAPELI unaofanyika kwa njia ya simu kwa kutuma ujumbe wenye neno utapeli kwenda 15040 kisha fuata maelekezo au piga *148*90#
 
Hizo njia unazofata ndy utapeli wenyewe.


Sijawahi kuamini namba zinazotolewa mitandaoni zaidi ya namba 100 costumer care.
 
Back
Top Bottom