Kuna aliyewahi kukutana na hii hali?

Papa D

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
753
Reaction score
182
Nimewahi kuwa na wapenzi kwa nyakati tofauti katika nchi kadhaa za kiafrika na Ulaya. kuwa wazi zaidi ni kwamba wapenzi hao wanafikia wanane. watano Wazungu na watatu waafrika.
Miongoni mwa hao sita [4whites and 2brown] wamewahi kunitolea expression moja ambayo hadi leo sielewi why and it was very natural!
Wakti fulani [ once or twice] baada ya kufanya mapenzi walitokea kusema AHSANTE! nlipouliza kwanini anashukuru mara zote hawasemi!!
1. Je, sababu ni nini?
2. Je, wanakuwa wanashukuru kweli?
3. Je, wanakuwa wameshukuru kutoka moyoni?
4. Kwa nini aiwi wakti wote mnapomaliza?
 
sasa kama hao hawajakupa sababu sisi tutatoa wapi? Afu mi naona majibu ya maswali yote unayo wewe mwenyewe.
 
Reactions: Mbu
mnh...asante,mbona neno linajieleza/linajitosheleza unataka ufafanuzi gani tena?....unataka tuwe wanajimu humu kama shehe yahya tukuambie kama zinatoka moyoni au la????:biggrin1:
 
Siku zote mwanamke yeyote duniani hata angekuwa na roho mbaya kiasi gani ukimfikisha kileleni (ukimkojolesha) lazima aseme asante!! Tena anapolitoa neno hilo huwa mpole huku machozi yafuraha yakimlenga!

Namshukuru mungu kazi hiyo yakumfikisha mwanamke naiweza!!!!
 

... Mwisho wa Thread.... ASANTE MAANA YAKE MTU KASHIBA KAKA...
 
Hahahaha! Asha wewe?? Mwenzio asiseme km anaambiwaga aksante???..lol.



Sweetlady aseme basi direct sio kupindisha maneno... ni kweli kayapanga but ukisoma tu you know kua anauza....
 
 



Asante....
 
Reactions: BAK

Sio kweli kwamba wnawake wote wanaosema asante ni kwamba wametoshelezwa. mara zote nilikuwa nasema asante kama ni njia moja tu ya kumpa hope na asijisikie vibaya lakini huku nikiwa bado mzitooooooooooooooo.
anyway sijawahi kupata raha lakini nasema asante
 

Papa D wewe ni single au married,sisi married ukiandaliwa chakula mezani ukala ukamaliza unasema asante na yule mkeo atasema asante kwa kuwa umekula chakula kitamu na ndio maana hukubakiza. Naamini kama utakula kidogo tu mkeo anaweza kukuuliza vipi chakula hukukipenda? Na kukusaidia "unamaliza chakula kwa sababu mbili,aidha ni kitamu na pia ulikuwa na njaa kwa vile hujala kwingine-nyumba ndogo - sharti aseme asante"
 
Mbona umepotoka kupita maelezo ndg yangu? nani akupe majibu, cc tupo kwenye nafsi za hao wanawake wako! Acha umalaya
 
mnh...asante,mbona neno linajieleza/linajitosheleza unataka ufafanuzi gani tena?....unataka tuwe wanajimu humu kama shehe yahya tukuambie kama zinatoka moyoni au la????:biggrin1:

Kidogo nipitilize ila wdwe umenivutia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…