Kuna aliyewahi kukutana na hii hali?

mnh...asante,mbona neno linajieleza/linajitosheleza unataka ufafanuzi gani tena?....unataka tuwe wanajimu humu kama shehe yahya tukuambie kama zinatoka moyoni au la????:biggrin1:

Kidogo nipitilize ila wewe umenivutia!!
 
Huna adabu!! ungeandika hapo juu kwnye kichwa ch habari kw wanawake tu ......km we hujui c 2tajuaje f**k u.
 
Tutaunda kamati ya watu sita Pauline,Sweetlady,Asha D,Mimi,Klorokwini na The Finest kuijadili mada yako na baada ya mjadala wa siku 3(kwa gharama yako) tutakupa jibu ila inabidi tupate angalau hao wahusika hata 3 tuwahoji kukamilisha ripoti hii.
 
huku mie nimepotea njia. narudi kwenye tekenelojiaaaa........
 
Tutaunda kamati ya watu sita Pauline,Sweetlady,Asha D,Mimi,Klorokwini na The Finest kuijadili mada yako na baada ya mjadala wa siku 3(kwa gharama yako) tutakupa jibu ila inabidi tupate angalau hao wahusika hata 3 tuwahoji kukamilisha ripoti hii.
sred klosed.

halaf kamanda umeshtukia memba wa JF wanavyoogopa kifo? Leo JF nzima tuko mimi na wewe na chetuntu tu, wengine wote wamekimbia kiama, hata mods wamesepa, kama huamini watukane na utaona hata ban hupigwi.
 
Kifo mchezo kloro ? Mnajimu Yahaya alitabiri mtu maarufu atakufa kabla ya mwezi wa sita kumbe anatabiri kifo chake kudadadeki hahaha! wallisema mwisho wa dunia 21-22 sasa Australia wanamaliza 22,May hamna cha mwisho wala karibu na mwisho lol!
 
Hapa naskiliza habari live zinasema mauzo ya gesti yalipungua kweli leo, kulaleki! halaf kuna mdada tunatongozana daily lakini leo kagoma kujibu PM eti tuheshim kiama. hakyababu member wa JF waoga. Lizzy wenyewe na husninyo na michelle habari za kuaminika wameonekana nyumba za ibada za walemavu wakati wao hawana ulemavu wowote. Kamanda hatuna majeshi hapa JF tuna wapiga zogo tu
 
Kuna njemba Kenya kauza kila kitu na kupeleka kanisani u kanti bilivu na ana familia ya watu 9 sijui kesho watakula nini au labda kanisa limrudishie hata nusu hasara.Hus yupo na Liz atatia timu muda si mrefu ni mida yake,Michelle kawa filosofa siku hizi namsalimia kwa mbali.
 
Unanshangaza! unataka tuchangie kwenye uzinzi wako? una nini wewe! wafanya dhambi halafu wajisifu?
 
pole sana mkubwa...itakua umeibiwa mara nyingi sana. Hakuna jipya hapo. Wizi mtupu.
 
Khakhakhakhaaaaa duh!!! jama wamejichanganya na walemavu ibadani? hii kali. kisa kiama.
 
walitaka utoe nyingi na bahati mbaya hukufanya hivyo ndo maana hawakurudia
 
Tutaunda kamati ya watu sita Pauline,Sweetlady,Asha D,Mimi,Klorokwini na The Finest kuijadili mada yako na baada ya mjadala wa siku 3(kwa gharama yako) tutakupa jibu ila inabidi tupate angalau hao wahusika hata 3 tuwahoji kukamilisha ripoti hii.
Hahahaha! Uporoto01, wahusika ni wadhungu bana, sina hakika kama wanajua kiswahili, itabidi utafute na mkaliman kabisa ili wakati wa kuwahoji tusipate shida...lol..
 
Asha D unaupendeleo mbona umeipenda hii, wakati BW nae anajifagilia wakati mtoa mada ulimwambia hasijifagilie!
 
sasa kama umeshndwa kujibiwa na hao baada ya kuduu nao cc tutasema nini jaman mh!
 
Unanshangaza! unataka tuchangie kwenye uzinzi wako? una nini wewe! wafanya dhambi halafu wajisifu?

unachekesha kujibu topic za JF kimipasho mipasho...ngoja tukuone utafika wapi na majibu yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…