wegman
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,468
- 2,090
Wakuu habari ya asubuhi?
Nijikite kwenye mada moja moja kwa moja, kuna hiyo kampuni tajwa hapo juu inajihusisha na usafirishaji wa mizigo toka mataifa kama USA, UK na UAE. Hawa jamaa wanadai ofisi yao ipo Zanzibar ingawa kama kuna mzigo wa kuja Bara huwa wanautuma.
Kama tunavyojua zama hizi kuna wimbi kubwa sana la matapeli sasa nia ya kuanzisha uzi huu ni kupata feedback kwa mwanaJF yoyote aliewahi tumia huduma zao ili nijiridhishe maana gharama zao zipo fair kwa kweli.
Au kama kuna mtu anaijua kampuni inayosafirisha mizigo toka USA to Tanzania kwa gharama nafuu anisaidie kuitaja.
Ni hayo tu wakuu.