Ndio mkuu wanaitwa hivyo Cargo Tanzania hata instagram pia wanatumia jina hilo hilo namba zao ni hizi 0654111111.Kampuni inaitwaje? Ndio inaitwa Cargo Tanzania? Nakushauri waombe numbers za branches zao za ZNZ. Tutawafuatilia kwa niaba yako na kukupa feed back.
Basi tutawaangalia na kuwapa physical visit halafu tutakupa feedbackNdio mkuu wanaitwa hivyo Cargo Tanzania hata instagram pia wanatumia jina hilo hilo namba zao ni hizi 0654111111.
Kwel biashara matangazoItakuwa msaada sana mkuu, we upo Zanzibar?
Sipo.Zanzibar mkuu, lakini umetaka msaada ni wajibu wetu kukusaidia kwa faida yako na ndugu zetu wengine ambao kwa njia moja au nyengine watafaidika na msàada wetu huu!Itakuwa msaada sana mkuu, we upo Zanzibar?
Nimewafuatlia mkuu lakini naona mpaka sasa hivi sijapata muafaka na nina wasiwasi either hawako genuine au professional. The later is more likely. Kwa sababu nimejaribu kuwapigia simu siku nzima haipokewi na imefika stage nahisi wame block simu. Kwa unprofessional conduct yao hii naamini kuna uwezekano mkubwa sana ya kupoteza mzigo wako. I hope have been of some help!Pamoja chief.
Siku ya kwanza pia niliwapigia simu sana ilichukua muda kweli kupokelewa. Inaelekea hawapo serious na business yao ngoja nitafute njia nyingine tu mkuu. Ubarikiwe sana kwa mrejesho.Nimewafuatlia mkuu lakini naona mpaka sasa hivi sijapata muafaka na nina wasiwasi either hawako genuine au professional. The later is more likely. Kwa sababu nimejaribu kuwapigia simu siku nzima haipokewi na imefika stage nahisi wame block simu. Kwa unprofessional conduct yao hii naamini kuna uwezekano mkubwa sana ya kupoteza mzigo wako. I hope have been of some help!
Good luck!Siku ya kwanza pia niliwapigia simu sana ilichukua muda kweli kupokelewa. Inaelekea hawapo serious na business yao ngoja nitafute njia nyingine tu mkuu. Ubarikiwe sana kwa mrejesho.