Wangari tema mate chini dadangu.Wanawake tunaweza!
MkiwezeshwaWanawake tunaweza!
Wanawake tunaweza!
Mhhh sio was miaka hi.... Labda kama hamjifahamu undani wenuWanawake tunaweza!
Wangari tema mate chini dadangu.
Abarikiwe huyoKuna watu wana uvumilivu mkuu, babu yangu amepooza mwaka wa nne sasa hakuna anachoweza kabisa. Bahati kwake alioa mwanamke mdogo amemzid miaka zaid ya 50 na hawajafanikiwa kuzaa. Lakini sasa huyo bibi yetu mdogo ndio anakomaa balaa na ukimuona unaweza fikir n mtoto wa sekondari.
Why mkuu..Wangari tema mate chini dadangu.
Bila kuwezeshwaaaaMkiwezeshwa
Naona umenifananisha mkuu..au umekaririSio yeye ni pombe izo
Anaeweza kuvumilia ivo ni Tina wangu tu
The late Babu yangu alipenda kunambia hii kauli "nakupa akiba ya maneno"Mke wangu anaweza kuvumilia haya, najivunia sana yeye
Si kwamba sijui ipo siku mambo yataharibika najua sana, ila kwa sasa na nilivyovipitia nina haki ya kusema maneno hayo... Ya Mungu ni mengiThe late Babu yangu alipenda kunambia hii kauli "nakupa akiba ya maneno"
Siku yakikukuta utakuja kutupa mrejeshoo...