Kuna amri ya kuwaangamiza viongozi wa CHADEMA nchi nzima

Mkulima

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2007
Posts
1,540
Reaction score
2,546
Kuna msako mkubwa wa kuwakamata viongozi wote wa CHADEMA kuanzia kwenye matawi mpaka ngazi za kitaifa.

Kuna orders za kuwakamata vijana wote ambao hawaiungi mkono CCM.

Hawa wote watateswa na wengine hata kuuawa kisha kubambikiziwa kesi za ugaidi na uharibifu wa mali.

Kila mtu anajua kilichotokea. Kila mtu anawafahamu walioandamana Ambao kwa asilimia kubwa ni vijana wasio na vyama.

Lakini order imetoka juu. Zigo lote watupiwe CHADEMA.

Kama ni kiongozi wa CHADEMA na ni kijana. Kwasasa ni bora jifiche sehemu Salama.
 
Utajificha wapi mbona sheikh sharif majini kajificha na kalamba shaba.Mapinduzi yanakaribia tena awamu hii hakutakuwa sijui kubembelezana
 
Nadhani ni wakati sahihi turudi mfumo wa chama kimoja tu ili tuepushe migogoro na vifo visivyo vya lazima. Hii demokrasia ni failed experiment kwa mtu mweusi tuwe tu na wafalme au machifu itatuokoa na mengi sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…