Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] , huyo rafiki siyo mtu mzuri kabisaNapenda kutuma salaam kwa aliyekuwa mke wangu kwamba yule rafiki yake aliyemshauri kuwa aachane na mimi ndio mke wangu kwa sasa [emoji23]
Mmbwai imekuwa mmbwaiNapenda kutuma salaam kwa aliyekuwa mke wangu kwamba yule rafiki yake aliyemshauri kuwa aachane na mimi ndio mke wangu kwa sasa 😂
Njunji unjunjweNapenda kutuma salaam kwa aliyekuwa mke wangu kwamba yule rafiki yake aliyemshauri kuwa aachane na mimi ndio mke wangu kwa sasa 😂
Dooh, shosti anakwambia achana naye bana kwani wanaume wameisha??, tena bado unalipa tu, sasa bila kuchanganya na zako ukirudi home unadai talaka ,duuh huyo rafiki asiniongeleshe milele kwakweli, ntamdundaa [emoji3] [emoji3]Ni mzuri sana, mke alitakiwa kifahamu zakuambiwa changanya na zako.