kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Walinifanyisha test moja ngumu hatari,lakini kwa uwezo wa Mungu nimeifaulu.ila cha kushangaza wameniambia eti ndio recruitment team yao wanakaa kuangalia kama cv yangu inafaa or not,swali langu ni walinipa ile test ngumu vile ya nin ilihali hata cv yangu kumbe hawajaiangalia?
Kama kuna mwenye uzoefu na hawa alistair anipe mwanga wa recruitment process yao.
Kama kuna mwenye uzoefu na hawa alistair anipe mwanga wa recruitment process yao.